Manny Pacquiao atumia Biblia kumkemea Obama

Baada ya Obama kuunga mkono ndoa ya jinsia moja mapema wiki hii, Pacquiao ameelezea kwamba Raisi amekosea. Aliyasema hayo kwenye moja ya mahojiano yake akielezea Jamii inahitaji kumweka Mungu wa kwanza. Manny Pacquiao aliyeacha kucheza ndondi, alinukuu kitabu cha Mambo ya Walawi 20:13 “Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume, kama alalavyo na mtu mke, … Continue reading »

Askofu aandika kitabu, Mungu siyo Mkristo!

Askofu maarufu wa kanisa la kipentekoste Carlton Pearson alitoa kitabu chenye kichwa cha habari. GOD IS NOT A CHRISTIAN, NOR A JEW, MUSLIM, HINDU….God Dwells with Us, in Us, Around Us, as Us Kwa maelezo yake ndani ya kitabu kwamba Yesu alisema, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwanjia ya mimi.Yohana 14:6 Kwa kauli hiyo … Continue reading »

NAFASI 200 ZA KAZI KWA VIJANA

Shalom Broz Productions ikishirikiana na Makampuni matatu ya Energy Master, Age Parfect na Challenger yanakuletea nafasi za kazi kwa vijana wasio na ajira au wanaotaka ajira za ziada (Part time job). Semina ya mafunzo ya kazi hii itatolewa Pale Alharamain Sekondari Kariakoo. inatazamana na Benjamen Mkapa Sekondari na Shule ya Uhuru. Saa mbili asubuhi siku … Continue reading »

Utata kuhusu Mafuta ya Upako!

Bwana Yesu Asifiwe, samahani naombeni mnisaidie kuhusu mafuta ya upako. Sijajua kama mimi ni mchanga kiroho au vipi? nashindwa kuelewa kuna wachungaji wanayaombea hayo mafuta halafu wanayagawa na wengine wanayauza sh 10,000 yanakuwa kwenye kichupa kidogo sana. Wanasema kama umepata strock unajipaka na unapona na wengine wanasema kama unaumwa pia unatumia na unapona na wengine … Continue reading »

Wachungaji na Mitindo ya Mavazi

Tulishawahi kujadili hapa http://strictlygospel.wordpress.com/2009/12/04/mchungaji-wa-kanisa-na-miradi/ kuhusu wachungaji wanaojihusisha na biashara tofauti na kazi waliyoitiwa. Hivi karibuni Mchungaji maarufu Ed Young amefungua label yake ya kuonesha ubunifu wa mavazi yake, kuhusu uchaguzi wa mashati ya kuvaa na jinsi ya kutengeneza kola. Pastor amepania kuona watu wanakuwa smart. Mchungaji huyo amesema alipokuwa akizindua mtandao wake wa PastorFashion.com kwamba ni mahali wachungaji … Continue reading »

Pastor Charles Jenkins – AWESOME

Verse 1: My God is Awesome/He can move mountains/Keep me in the valley/Hide me from the rain My God is Awesome/Heals me when I’m broken/Strength where I’ve been weakened/ Forever He will reign…(repeat verse 1 again) Hook: My God Is Awesome/Awesome, Awesome, Awesome My God is Awesome/Awesome, Awesome, Awesome Verse 2: My God is Awesome/Savior … Continue reading »

Mungu ni mwenye Rehema

Mch Piason Ndala wa Huduma ya Maombezi ya Matatizo Sugu na Ushauri wa Kibiblia (BCIC), Tawi la Temeke lililopo Mbagala Maji Meupe amewaambia waumini wa Huduma hiyo kuwa, “unaweza kuwa na sura nzuri kama malaika, kama huna rehema na kweli mbele za Mungu na wanadamu, wewe ni sawa na sifuri” Mchungaji huyo ameyasema hayo jana … Continue reading »

Patient Hen

It may seem that God’s promise is too big for you to receive. The hen cannot see any change in the egg from day to day, yet she patiently and steadfastly sits on the egg. Then one day, suddenly, the egg cracks, and she receives the fulfillment of the promise. –Mike

Fahamu maswali muislamu anayoweza kukuuliza

Una ujasiri wa kuongea na muislamu? usiogope uwe msomaji wa Neno la Mungu. Wiki iliyopita nilikuwa Mombasa ambapo nilipata nafasi ya kufanya mjadala na Imam. Nimeona ni vyema niwashirikishe maswali ambayo wanatumia kama silaha kwa mkristo asiyekuwa na majibu. 1. Kwa mujibu wa mafundisho ya uislamu ni wazi kwamba watapata wake 72 wakienda peponi, alipokuwa … Continue reading »

Mstari Unaoniliza Kuliko Yote Katika Biblia – XVIII

  Somo letu linaendelea. Katika mstari ule wa Luka 13:22 Biblia inaeleza kuhusu mtu mmoja aliyemuuliza Bwana Yesu kuhusu wingi wa watu wanaookolewa. Bwana Yesu akijibu swali hilo alisema kuwa JITAHIDINI KUINGIA KATIKA MLANGO ULIO MWEMBAMBA, KWA MAANA NAKWAMBIA KUWA WENGI WATATAKA KUINGIA LAKINI WASIWEZE. Pamoja na sababu nyingi ambazo nimekwisha kuzieleza katika masomo yaliyotangulia, … Continue reading »

A Baby Boy Raised from the Dead

Dan Wooding (April 26, 2012) “I felt God speaking to me saying: ‘He has the right to live’. So, immediately, I put my hand over him, and started to pray…” (Montevideo, Uruguay)—Dr. Marta Martínez is a respected doctor from Montevideo, Uruguay, who believes that God still heals the sick today. And she should know, for in … Continue reading »

Nani ni mume wangu?

Naomba maombi kwa ajili ya ufunuo juu ya nani ni Mume wangu, niliolewa na kijana mmoja wakati huo mimi nilikua nimezaa na mtu mwingine miaka ya nyuma. Nimeishi na huyu kijana sasa ni mwaka wa 8 sijabahatika kupata mtoto naye, akaamua kuzaa na mtu mwingine ila bado anaishi na mimi, sasa tatizo linakuja kuwa mimi … Continue reading »

KKKT-DMP KIJITONYAMA WAZINDUA JENGO LA KITEGA UCHUMI

Hilo ndilo jengo lililozinduliwa,Wanaoonekana kwenye picha ni wadau mbalimbali waliojihusisha katika kazi mbalimbali za kuhakikisha ujenzi hata uzinduzi unakwenda kama ulivyopangwa Askofu mkuu wa kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania ambaye pia ni askofu wa dayosisi ya mashariki na pwani Dkt.Alex Gehaz Malasusa, jumapili iliyopita aliwaongoza mamia ya waumini wa kanisa hilo usharika wa Kijitonyama … Continue reading »

Sijawahi kuona imani kubwa kama hii!

Muimbaji maarufu Lady Gaga amewasilia Korea kusini Ijumaa iliyopita kuitangaza album yake, hapo kabla  jumla ya waumini 300 wa Kanisa la kipentekoste walikutanika na kuomba Mungu kupiga onesho hilo.  Kiongozi wa kundi hilo Kang Ju-hyun alisema “Tunaenda kuomba kwa Mungu hilo tamasha lisifanyike ili ngono na ushoga visienee katika nchi” Alisema Ijumaa ya tarehe 27 … Continue reading »

Lugha yako ya maombi ni ipi?

Maombi ya muhitaji yananoga. Wakati wa shida hata wasiofuatilia Mungu watamkumkubuka na kuita jina lake. Kuna lugha nyingi kwenye maombi, mfano wengine wanaimba, wengine husikiliza muziki wa kuabudu, wengine hunena kwa lugha, wengine wanaenda sehemu iliyotulia nje kwenye fukwe za bahari, vijito, milima ili tu waweze kuongea na Mungu hiyo yote ni jinsi ya kuingia, … Continue reading »